-
Marekani yasema itatumia njia zote za kisheria kuhakikisha inamtia nguvuni Edward Snowden
-
Jeshi la polisi nchini Afghanistani lazima shambulio dhidi ya Ikulu ya rais na ofisi za CIA jijini Kaboul
-
Waalim nchini Kenya waanzisha mgomo wa jumla, huku serikali ikiwataka kuketi kwenye meza ya mazungumzo
-
Baraza la uratibu shughuli za kijamii mashariki mwa DRCongo latangaza kuunga mkono pendekezo la rais Jakaya Kikwete juu ya Rwanda na Uganda kuzungumza na waasi.
-
Afya ya Nelson Mandela bado ni tete lakini yenye kuimarika
-
Marekani na Urusi zavutana juu ya Erdowan, afisaa huyo wa zamani wa CIA anaye daiwa kukimbilia nchini Urusi
-
Laurent Blanc apewa mkataba wa miaka miwili kuinoa PSG, Carlos Ancelotti apewa mikoba ya Jose Morinho kuinoa Real Madrid
-
Rais Obama kutozuru nchini Kenya
-
Wakimbizi
-
Ugonjwa wa uti wa mgongo