Pata taarifa kuu
Afrika Ya Mashariki

Wakimbizi

Imechapishwa:

Hii ni sehemu ya pili ya makala kuhusu wakimbizi wa ukanda wa Afrika ya Mashariki na kati ambapo wakimbizi wa Congo na Burundi waliokimbia nchi zao wanashughulikia taratibu za kusaliriwa kama wakimbizi na kupewa haki zote za ukimbizi. Waombahifadhi na wakimbizi kwa nchini Uganda sio lazima kwao kuishi makambini kama ilivyozoeleka kwa mataifa kadhaa ya ukanda huu.

Makala ya Afrika Mashariki, ni moja ya Makala ambayo inakukusanyia matukio na mambo mbalimbali yanayojiri kwenye ukanda, na inaruka kila siku za Jumanne jioni saa 12:20 na marudio Jumatano asubuhu saa 1:46.
Makala ya Afrika Mashariki, ni moja ya Makala ambayo inakukusanyia matukio na mambo mbalimbali yanayojiri kwenye ukanda, na inaruka kila siku za Jumanne jioni saa 12:20 na marudio Jumatano asubuhu saa 1:46. © EAC.int
Vipindi vingine
  • 09:59
  • 09:59
  • 09:59
  • 09:59
  • 09:59
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.