-
Rais wa Marekani Barack Obama ziarani barani Afrika, ambapo atazuru Senegal, Afrika Kusini na Tanzania
-
Wazee wa ukoo wa kifalme wa Thembus wamtembelea Nelson Mandela Hospitalini wakati hali yake ikiendelea kuwa tete
-
Waandamanaji nchini Brazil wazidisha kasi ya maandamano licha ya rais wa taifa hilo kuahidi kuleta mabadiliko
-
Wapenzi wa soka duniani wamkumbuka mchezaji wa timu ya taifa ya Cameroon Marc Vivien Foe aliefariki uwanjani miaka kumi iliopita
-
Vikosi vya Umoja wa Mataifa kuanza jukumu lake la kushika doria nchini Mali
-
Wafanyabiashara nchini Uganda waingia katika siku ya pili ya mgomo
-
Ziara ya Obama barani Afrika
-
Maadhimisho ya siku ya kupiga vita madawa ya kulevya
-
Safari ya rais Barack Obama barani Afrika