-
Mgomo wa wafanyabiashara nchini Uganda waendelea licha ya kushauriwa kurejea katika shughuli zao wakati mazungumzo yakianzishwa
-
Katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa atowa wito wa mataifa mblimbali duniani kuwekeza zaidi kwa vijana
-
Marekani yaonya kutokea kwa mashambulizi zaidi ya wanamgambo wa Taliban nchin Afghanistan
-
Rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma afuta safari yake nchini Msumbuji kufuatia hali ya Nelson Mandela kuwa mbaya zaidi
-
Rais wa Marekani Barack Obama na familia yake kuzuru kisiwa cha Goree nchini Senegal
-
Edward Snowden kupewa hifadhi nchini Ecuador
-
Polisi nchini Brazili wakabiliwa na kibarua kigumu cha kuzima maandamano yanayo shamiri nchini humo na kuchukuwa sura mpya
-
Rais wa Misri Mohamed Morsi aonya juu ya mgawanyiko wa kisiasa nchini humo
-
Ziara ya Rais wa Marekani Barack Obama nchini Tanzania