-
Rais Barack Obama awasili nchini Afrika Kusini wakati wananchi wakiendelea kumuombea Nelson Mandela kinara na mtetezi wa ubaguzi wa rangi nchini humo
-
Wafuasi wa kiongozi wa Misri Mohamed Morsi waandamana kumuunga mkono kiongozi huyo
-
Wanajeshi wa kulinda amani wa Umoja wa Mataifa kwenye mpaka wa Israel na Syria waongezewa muda
-
Hali ngumu ya maisha ya wakimbizi nchini Uganda, yasababisha watoto wakike kujiingiza kwenye biashara ya ngono
-
Viongozi wa Umoja wa Ulaya EU wajadili swala la ukosefu wa ajira katika kikao cha siku mbili jijini Brusels.
-
Rais wa Ecuador Rafael Correa atangaza kufuta mkataba wa ushuru na Marekani
-
Uhispania kupepetana na Brazili kwenye fainali ya kombe la mabara
-
Muziki Ijumaa
-
Miaka 53 ya uhuru wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo DRC