UGANDA-UGANDA
Hali ngumu ya maisha ya wakimbizi nchini Uganda, yasababisha watoto wakike kujiingiza kwenye biashara ya ngono
Wakimbizi nchini Uganda walalamikia hali ngumu ya maisha huku watoto wakike wakiamua kujiingiza kwenye biashara ya ngono na hata kujikuta wamezaa watoto ambao hawatambuwi baba zao. Mengi zaidi kuhusina na taarifa hii, sikiliza ripoti ys Tony Singoro kutoka Kampala.
Imechapishwa:
Cheza - 02:34