Wimbi la Siasa
Kizza Besigye achaguliwa tena kuwania urais kupitia chama chake cha FDC
Imechapishwa:
Cheza - 10:29
Kizza Besigye amechaguliwa tena kuwania urais mwaka ujao kupitia chama cha upinzani cha FDC.Besigye alipata nafasi hiyo baada ya kumshinda mpinzani wake wa pekee na Mwenyekiti wa chama hicho Mugisha Muntu.Tunachambua ushindi huu wa Besigye na siasa za upinzani nchini Uganda.