Pata taarifa kuu
Wimbi la Siasa

Nini haki za wafanyakazi duniani ?

Imechapishwa:

Kila tarehe 1, ni maadhimisho ya sikukuu ya wafanyakazi duniani. Wafanyakazi wanatumia siku hii kusherehekea mafanikio yao na kuendeleza mapambano ya haki zao. Je, siku hii ina umuhimu gani ? Wageni wetu ni Nice Mwansasu kutoka  Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania (TUCTA) na mwanasheria wa masuala ya ajira kutoka Kenya Elvis Abenga

Francis Atwoli, Katibu Mkuu wa muungano wa vyama vya wafanyakazi nchini Kenya
Francis Atwoli, Katibu Mkuu wa muungano wa vyama vya wafanyakazi nchini Kenya © Cotu Kenya
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.