Pata taarifa kuu
Wimbi la Siasa

Wimbi la siasa: Madai ya Burundi kwa Rwanda kuhusika na vitendo vya uhalifu nchini Burundi

Imechapishwa:

Kwenye Makala haya Ali Bilali akiwa pamoja na wachambuzi wa siasa Mali Ali kutoka Paris Ufaransa na Abdulkarim Atiki wanaangazi kuhusu tuhuma za Burundi kwa Rwanda kuhusika na vitendo vya uhalifu hususan uvurumishaji guruneti katika mji wa Bujumbura, tukio la hivi karibuni liligharimu maisha ya watu kadhaa na kuwajeruhi wengine.

Burundi: Rais Evariste Ndayishimiye atuma ujumbe wa nia njema kwa mwenzake wa Rwanda Paul Kagame (13/01/2022)
Burundi: Rais Evariste Ndayishimiye atuma ujumbe wa nia njema kwa mwenzake wa Rwanda Paul Kagame (13/01/2022) © FMM-RFI
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.