Wimbi la Siasa
Lipumba ajiuzulu unyekiti wa CUF na UKAWA nchini Tanzania
Imechapishwa:
Cheza - 10:00
Juma hili tunachambua hatua ya kujiuzulu kwa Mwenyekiti wa Chama cha upinzani cha wananchi CUF nchini Tanzania Profesa Ibrahim Lipumba, miezi miwili kabla ya Uchaguzi Mkuu mwezi Oktoba.