-
Baada ya maandamano na umwagaji damu nchini Libya, wanajeshi zaidi wapelekwa mjini Tripoli ili kuimarisha usalama
-
Wanasheria nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati waanza mgomo kupinga mauaji ya mwenzao
-
Raia wawili wa kigeni wakamatwa kwa tuhuma za kupeleleza siri za serikali ya eneo lililojitenga na Somalia la Puntland
-
Wamisri wafanya kumbukumbu ya mapinduzi ya kijeshi yaliyoangusha utawala wa Hosni Mubarak
-
Shambulizi kubwa latekelezwa nje ya ubalozi wa Iran nchini Lebanoni
-
Makundi mengine ya uasi nchini DRCongo yakubali kuweka silaha chini ili kurejesha amani Mashariki mwa nchi hiyo
-
Taifa Stars ya Tanzania na Zimbabwe kuchuana katika mechi ya kirafiki jijini Dar es salaam
-
Hatimaye bunge la Umoja wa Ulaya, EU laidhinisha bajeti yake itakayotumika hadi mwaka 2020
-
Takribani watu 16 wamekufa katika shambulizi la kigaidi lililotekelezwa na wanamgambo wa Al Shabaab nchini Somalia
-
Ugonjwa wa Homa ya Ini
-
Mtukio muhimu yaliyojiri mwaka 2013
-
Siku ya choo duniani