Pata taarifa kuu
Habari RFI-Ki

Siku ya choo duniani

Imechapishwa:

Kila tarehe 19 mwezi Novemba huwa ni maadhimisho ya siku ya choo duniani, kwa hiyo katika kipindi cha leo tunazungumzia umuhimu wa matumizi sahihi ya choo katika jamii ili kutunza usafi wa mazingira na kuepuka magonjwa yatokanayo na ukosefu wa vyoo bora.

Vipindi vingine
  • 10:03
  • 10:06
  • 10:09
  • 10:00
  • 10:13
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.