Habari RFI-Ki
Makala ya kila siku yanayompa fursa msikilizaji kutoa maoni yake juu ya habari zilizopewa uzito wa juu kwa siku husika. Msikilizaji hushiriki kwa kutuma ujumbe mfupi pamoja na kupiga simu.
Soma yanayofuataSikiliza kipindi kilichopita
Vipindi vyote
-
Je mataifa tajiri yanaweza saidia mataifa maskini kupambana na
Wiki hii Paris, ilikuwa mwenyeji wa mkutano wa Kimataifa kujadili namna ya kuyasaidia mataifa masikini hasa barani Afrika, kufikia malengo ya kukumbatia nishati safi ya kupikia na kuachana na mkaa na kuni.16/05/202409:52 -
Somalia : Yataka ujumbe wa umoja wa mataifa wa kisiasa kuondoka
Serikali ya Somalia imeandikia bazara la usalama la umoja wa mataifa ikitaka ujumbe wa umoja huo ambao umekuwa ukisaidia serikali katika maswala ya kisiasa na usalma kuondoka.15/05/202409:53 -
Ujuzi au vyeti, serikali ya Kenya inawasaka wafanyakazi waliotumia vyeti ghushi kupata ajira
Serikali ya Kenya inaendesha uchuguzi kuhusiana na madai ya baadhi ya wafanyakazi wake kumiliki vyeti ghushi, walivyotumia kupata ajira.14/05/202409:23 -
Nini mchango wa masharika ya kirai katika mataifa yetu ya Africa
Kongamano la kwanza la mashirika ya kiraia la Umoja wa Mataifa limekamilika jijini Nairobi wiki iliyopita, huku wito wa mazungumzo ya uwazi na ukweli kati ya serikali na mashirika hayo ukisisitizwa.13/05/202410:10 -
Maoni ya waskilizaji kuhusu mafuriko yanayo zikumba nchi za Afrika mashariki
Mafuriko yanashuhudiwa kwenye nchi za Afrika Mashariki, mamia ya watu wakiripotiwa kufariki, nyumba na miundombinu ikiharibiwa.Nchi za Kenya na Tanzania zimeathirika pakubwa na mafuriko haya. Unazungumziaje miakakati inayochukuliwa kuzuia madhara zaidi?Hali ikoje nchini mwako?Unachukua tahadhari zipi binafsi kujilinda?07/05/202410:03 -
10:06
-
10:09
-
Ushirikiano wa Afrika na benki ya Dunia pamoja na masharti magumu ya mikopo
Viongozi wa Afrika wamekutana Nairobi kujadili ushirikiano zaidi na benki ya dunia30/04/202410:00 -
Mafuriko yanavyoendelea kuutesa ukanda wa Afrika Mashariki
Ukanda wa Afrika ya mashariki na Pembe ya Afrika unaendelea kupokea mvua kubwa30/04/202410:13 -
10:00
-
Ongezeko la matukio ya kigaidi katika nchi mbalimbali barani Afrika inatia hofu
Umoja wa Afrika, unasema ongezeko la matukio ya kigaidi katika nchi mbalimbali inatia hofu na hatua za haraka zinapaswa kuchukuliwa ili kukabiliana na hali hii.25/04/202409:51 -
Nchi za Afrika Mashariki kuongeza kodi ili kupata mapato zaidi ya serikali
Hivi karibuni tumeshuhudia baadhi ya nchi za Afrika Mashariki kama vile Kenya, Uganda na Tanzania zikipendekeza mabadiliko ya sheria ili kuongeza kodi, kwa lengo la serikali kuongeza mapato24/04/202409:53 -
09:52
-
Wito wa msaada w akibinadamu kwa mamilioni ya raia wa mashiriki mwa DRC
Umoja wa Mataifa unaomba msaada wa haraka wa kibinadamu kuwasaidia raia wa DRC zaidi ya milioni nane walioathiriwa na utovu wa usalama mashariki mwa nchi yao.23/04/202409:52 -
09:41
Habari RFI-Ki
Makala ya kila siku yanayompa fursa msikilizaji kutoa maoni yake juu ya habari zilizopewa uzito wa juu kwa siku husika. Msikilizaji hushiriki kwa kutuma ujumbe mfupi pamoja na kupiga simu.