-
Rais wa DRCongo ateua Tume ya kusimamia utekelezaji wa maazimio yaliyofikiwa katika mazungumzo ya kitaifa
-
Raia wa Ufaransa aliyetekwa nchini Nigeria mwaka uliopita afanikiwa kuwatoroka magaidi na kujisalimisha polisi
-
Naibu Mkuu wa Upelelezi nchini Libya, Nuh Mustafa atekwa nyara mjini Tripoli
-
Rais wa zamani wa Chile, Michelle Bachelet ang'ara katika matokeo ya duru ya kwanza ya uchaguzi mkuu
-
Serikali ya Kenya yawatuhumu wapinzani kueneza propaganda dhidi ya kesi inayowakabili viongozi wake katika mahakama ya ICC
-
Seneta Reverien Ndirukiyo ateuliwa kuliongoza Shirikisho la Soka nchini Burundi FFB
-
Uchunguzi waanza kubaini chanzo cha ajali ya ndege iliyosababisha vifo vya watu 50 Urusi
-
Wachezaji 6 wa raga nchini Australia waadhibiwa kwa kosa la kutumia pombe
-
Hollande: Israel isitishe ujenzi wa makazi katika eneo lenye utata ili kutovuruga mazungumzo ya amani baina yake na Palestina
-
Mgomo wa wafanyabiashara wa Kariokoo jijini Dar es salaam
-
Mchango wa teknolojia katika uboreshaji wa mazingira