-
Marekani yataka Rwanda kusitisha Msaada kwa Waasi wa M23 huku Mkutano wa Viongozi wa Maziwa Makuu wakijadili Jeshi litakalolinda mipaka DRC
-
Jeshi la Misri limefanya mashambulizi katika mpaka wa Sinai kwa kutumia ndege za kijeshi na vifaru
-
Mahakama kuu nchini Pakistan yaagiza waziri mkuu Raja Pervez Ashraf kufika mahakamani
-
Shirika la Amnesty International lazionya pande zinazopigana kwenye mji wa Aleppo nchini Syria kuacha kutumia silaha nzito dhidi ya raia
-
Algeria yapata medali kwenye mbio za mita 1500, leo ni zamu ya Caster Semenya wa Afrika Kusini kwenye mita 800
-
Sir Chris Hoy awa mwanamichezo wa kwanza toka timu ya Uingereza kupata medali ya sita kwenye mashindano ya Olympic na kuweka historia mpya kwa timu hiyo
-
Brazil na Mexico kukutana kwenye fainali michuano ya Olympic
-
Museveni: Marais wa Rwanda na DRC kukutana tena baada ya wiki nne kuzungumzia suluhu ya mgogoro wa mashariki mwa Kongo
-
Sikukuu ya nanenae na jinsi kilimo kinavyothaminiwa hapa Afrika Mashariki
-
Mzozo wa mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo DRC
-
Gharama za ukarabati majengo ya serikali Afrika Mashariki