Pata taarifa kuu
Gurudumu la Uchumi

Sikukuu ya nanenae na jinsi kilimo kinavyothaminiwa hapa Afrika Mashariki

Imechapishwa:

Mtangazaji wa makala haya juma hili ameangazia sikukuu ya nanenane ama sikukuu ya wakulima ambayo hufanyika kila mwaka nchini Tanzania kwa maonesho mbalimbali ya kilimo.Kwenye makala ya Gurudumu la Uchumi hii leo mbali na kuangazia sherehe hizo, mwandishi ametazama namna ambavyo kilimo kinachukuliwa hapa Afrika Mashariki pamoja na changamoto zake.

RFI
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.