-
Mawaziri wa Ulinzi kutoka Nchi za Ukanda wa Maziwa Makuu ICGLR kukutana kujadili muundo wa Jeshi litakalolinda mipaka ya DRC
-
Katibu Mkuu wa UN ataka Makundi ya Wapiganaji wa Kiislam nchini Mali yawekewe vikwazo kutokana na kushirikiana na Makundi ya Kigaidi Duniani
-
Baraza la mpito nchini Libya lakabidhi madaraka rasmi kwa bunge jipya la nchi hiyo
-
Rais wa Misri Mohamed Morsi amfukuza kazi mkuu wa usalama wa taifa
-
Serikali ya Zambia yawahakikishia usalama wawekezaji raia wa China walioko nchini humo
-
Kesi inayomkabili mke wa mwanasiasa Bo Xilai, Gu Kailai imemalizika, kinachosubiriwa ni hukumu ya mahakama kuu ya China
-
Macho na masikio ya bara la Afrika hii leo kwa mwanariadha David Rudisha kutoka Kenya kwenye mbio za mita 800
-
Tehran yaandaa mkutano wa nchi 29 marafiki wa Syria ambao hawaungi mkono vikwazo dhidi ya Syria
-
Ni changamoto za mkutano wa viongozi wa nchi za maziwa makuu?
-
Ajali za mara kwa mara