Pata taarifa kuu
Wimbi la Siasa

Wabunge nchini Tanzania wapitisha mageuzi ya sheria za uchaguzi

Imechapishwa:

Wiki iliyopita, wabunge nchini Tanzania, walipitisha miswada mitatu ya sheria ya uchaguzi kuelekea uchaguzi mkuu mwaka ujao. Tume ya uchaguzi itabadilishwa jina na sasa itafahamika kama Tume huru ya taifa ya Uchaguzi. Mwenyekiti wa Tume na Makamu wake, watateuliwa na rais baada ya kupokea majina matatu kutoka kwenye Kamati ya usaili.Chama kikuu cha upinzani, CHADEMA kinapinga mabadiliko hayo. 

Baadhi ya wabunge wa Bunge la Jamhuri ya muungano wa Tanzania
Baadhi ya wabunge wa Bunge la Jamhuri ya muungano wa Tanzania RFI
Matangazo ya kibiashara

Wachambuzi wetu ni Mohammed Jawadu akiwa Dar es salaam  na Hamdun Marcel akiwa Mwanza.

Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.