Pata taarifa kuu
Wimbi la Siasa

Ongezeko la mapinduzi ya kijeshi Barani Afrika

Imechapishwa:

Msikilizaji utaskia mengi kuhusu chanzo cha ongezeko la mapinduzi ya kijeshi barani Afrika.Mapinduzi kama haya yameshafanyika kwenye nchi za Guinea na Mali, huku majaribio mengine kadhaa yakishindikana kwenye ukanda huo.Mwaka 2021 ulishuhudia idadi kubwa ya mapinduzu barani Afrika ukilinganisha na miaka iliyopita.Leo tunaangazia kwa kina yanayotokea na pengine kutafuta suluhu

Le capitaine Ibrahim Traoré, leader de la nouvelle junte burkinabè, quitte le camp militaire Sangoule Lamizana à Ouagadougou, le 8 octobre 2022.
Le capitaine Ibrahim Traoré, leader de la nouvelle junte burkinabè, quitte le camp militaire Sangoule Lamizana à Ouagadougou, le 8 octobre 2022. AFP - ISSOUF SANOGO
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.