Wimbi la Siasa
Mchakato wa Katiba Mpya nchini Tanzania na nafasi ya Waandishi wa Habari
Imechapishwa:
Cheza - 10:41
Tume ya Ukusanyaji Maoni kwa ajili ya Katiba Mpya nchini Tanzania inaendelea na mchakato wa kupata maoni kutoka kwa makundi mbalimbali mojawapo ikiwa ni Jumuiya ya Waandishi wa Habari inayotajwa kama mhimili wa nne wa serikali usio rasmi. Makala ya Wimbi la Siasa limekutana na waandishi wa habari kuangalia nafasi yao kwenye kutoa maoni juu ya katiba mpya!!