Wimbi la Siasa
Kamati ya Nidhamu ya Chama Cha ANC yamtimua uanachama Julius Malema
Imechapishwa:
Cheza - 10:46
Makala ya Wimbi la Siasa leo yanaangazia hatua ya Chama Tawala nchini Afrika Kusini cha ANC kutangaza kumfukuza rasmi uanachama aliyekuwa Rais wa Umoja wa Vijana wa chama hicho Julius Malema ambaye alimsaidia pakubwa Rais wa sasa Jacob Zuma kuweza kushinda uchaguzi uliopita.