Wimbi la Siasa
Ripoti kuhusu kudunguliwa kwa ndege ya rais wa Rwanda Juvenal Habyarimana
Imechapishwa:
Cheza - 09:39
Katika makala haya, ya Wimbi la Siasa, tunakuletea habari kuhusu ripoti ya ma jajai wa Ufaransa ihusuyo kudunguliwa kwa ndege aliokuwemo hayati Juvenal Habyarimana na Cyprien Ndaryamira rais wa Burundi mwaka 2004.