Pata taarifa kuu
Wimbi la Siasa

Mgogoro wa Sudan na Sudan Kusini waingia katika sura mpya

Imechapishwa:

Mgogoro wa Sudan na Sudan Kusini bado ni tatizo ambalo lazima litafutiwe ufumbuzi kama kweli Bara la Afrika na Jumuiya ya Kimataifa inawatakia mazuri raia wa nchi hizo ambao wamethirika kwa kiasi kikubwa na mgogoro huo.Leo katika makala ya Wimbi la Siasa tutaelekeza mtazamo wetu katika mgogoro huo wa nchi hizo jirani na kikubwa kinachoibuka ni kuzuka tena kwa mashambulizi baina ya pande hizo mbili wakati harakati za kukomesha mgogoro huo zikiendelea.Ungana na mtayarishaji na mtangazaji wa makala haya upate undani wa kile kinachojiri Suda na Sudan Kusini.

Milima ya Nuuba
Milima ya Nuuba Maureen Didde/Wikimedia Commons
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.