Pata taarifa kuu
Wimbi la Siasa

Hali ya kisiasa bado ni tete nchini Senegal, wito watolewa kwa rais Wade kutowania tena urais

Imechapishwa:

Hali ya kisiasa nchini Senegal bado imeendelea kuwa ya sintofahamu baada ya upinzani kuendelea kuitisha maandamano ya nchi nzima kupinga uamuzi wa mahakama ya Katiba ya nchi hiyo kumuidhinisha rais Wade kuwa anaweza kuwania urais kwa muhula wa tatu.Mtangazaji wa makala hii, amezungumza na wachambuzi wa masuala ya siasa kutazama hali ya kisiasa katika nchi hiyo na uamuzi huo wa mahakama.

Waandamanaji nchini Senegal wanaopinga uamuzi wa mahakama ya Katiba
Waandamanaji nchini Senegal wanaopinga uamuzi wa mahakama ya Katiba Reuters/Gabriela Barnuaevo
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.