-
Wanajeshi watano kutoka Tchad wa kikosi cha Umoja wa Afrika wapoteza maisha, huku hali ikiendelea kuwa tete
-
Wito wa kumaliza machafuko nchini Sudani Kusini wapuuzwa
-
Waziri mkuu nchini Uturiki Recep Tayyip Erdogan ametangaza baraza lake jipya la mawziri wakati wito wa kumtaka ajiuzulu ukiendelea kutolewa
-
Wachezaji wa timu tatu za Uingereza wasifiwa na Kocha wa timu ya Taifa ya nchi hio
-
Zaidi ya watu arobaini wapoteza maidha katika mapigano ya jana mjini Kamango mashariki mwa DRCongo
-
Kiongozi mkuu wa upinzani nchini Bangladesh aziwiliwa kutotoka kwenye makaazi yake
-
Ripoti ya wataalamu wa Urusi kuhusu kifo cha rais wa zamani wa Mamlaka ya wa Palestina yabaini kuwa hakuna ushahidi wa kuuawa kwa sumu
-
Juhudi za kidiplomasia kuwashawishi viongozi wa Sudani Kusini zimeshika kasi, rais wa Kenya na waziri mkuu wa Ethiopia wapo Juba