-
Jeshi la Sudani Kusini latangaza kuurejesha kwenye himaya yake mji wa Bor baada ya mapigano makali na waasi
-
Viongoi wakuu nchini jamuhuri ya Afrika ya Kati akiwemo Rais Djotodia wawatolea raia wito wa kudumisha amani nchini humo
-
Tume ya uchaguzi nchini Madagascar yamtaka mgombea urais ambae hakuridishwa na matokeo ya uchaguzi kwenda mahakamani
-
Edward Snowden asema amefanikisha mpango wake
-
Bunge la Uganda lalalamimkiwa kwa kupasisaha muswada wa kupinga mapenzi ya jinsia moja
-
Manchester City yaapa kuiangusha Liverpool kwenye nafasi ya kwanza
-
Kiongozi wa Kanisa Katoliki aendesha ibada ya misa ya krismas kwa niaba ya nchi zinazo kabiliwa na machafuko.