-
Jeshi la Sudan Kusini lajiandaa kuikomboa miji iliodhibitiwa na waasi
-
Waasi nchini Syria watishia kutohudhuria mazungumzo ya pili ya mjini Geneva Nchini Uswisi kufuatia mashambulio ya anga ya ndege za serikali
-
Watu 14 wapoteza maisha katika shambulio la kujitowa muhanga mapema leo asubuhi mjini Mansourah kaskazini mwa Misri
-
Wanajeshi watatu wa kikosi cha Umoja wa Afrika wajeruhiwa mjini Bangui katika makabiliano na wenzao kutoka Burundi
-
Timu ya Swansea yatafuta kwa udi na uvumba wachezaji wakuipa nguvu ili ifanye vizuri msimu huu
-
Kundi la wanamgambo wa kislamu la Mujao nchini Mali laonekana kufifia