-
Serikali ya Sudani Kusini imekiri kuwa miji kadhaa Kusini mwa nchi hiyo imeanguka mikononi mwa wanajeshi wanaomtii makam wa rais wa zamani Riek Mashar
-
Waumini wa kiislam nchini Jamuhuri ya Afrika ya Kati waandamana kuyapinga majeshi ya Ufaransa kwa kuyatuhumu kuegemea upande wa Wakristo
-
Wagombea wawili wa duru ya pili ya uchaguzi wa rais nchini Madgascar kila mmoja adai ushindi wakati wa matokeo ya awali
-
Timu vinara wa Soka nchini Ufaransa zashindwa kutamba kwenye mechi za ligi
-
Mshambuliaji mahiri wa Klabu ya Liverpoool Luis Suarez amesaini mkataba kuendelea kusakata gozi kwenye Klabu hiyo ya Liverpool
-
Mapigano ya kidini yanaendelea nchini Jamuhuri ya Afrika ya Kati huku Kundi la waasi la Séléka likitishia kuigawa nchi hio mara mbili
-
Uwanja wa soka nchini Tahiland wazingirwa na waandamanaji wakitaka mabadiliko ya kisiasa kabla ya uchaguzi
-
Machafuko yaendelea kushuhudiwa kusini mwa Yemen kutokana na visima vya mafuta