-
Baada ya kuangukiwa na kura ya kutokuwa na imani naye,Waziri mkuu wa Somalia awatuhumu wabunge kutompa nafasi ya kujitetea
-
Mazungumzo ya amani kati ya serikali ya DR Congo na kundi la waasi wa M23 huenda yakarejewa
-
Navi Pilley;Kuna Ushahidi wa kutosha kuwa rais Bashar Al Assad na washirika wake wametekeleza ukiukwaji wa haki za binadamu
-
Kocha wa klabu ya soka ya CS Sfaxien ya Tunisia ajiuzulu kufuatia kutolipwa marupurupu
-
Uganda yafuzu katika hatua ya ribo fainali ya michuano ya CECAFA
-
Kiongozi wa waandamanaji Suthep Thaugsuban awataka waandamanaji kuchukua udhibiti wa makao makuu ya Polisi Bankok
-
Kiongozi wa kijeshi Korea Kaskazini aondolewa katika nafasi yake
-
Fahamu maradhi ya Saratani na namna ya kuukabili
-
Changamoto za kisiasa kwenye makubaliano kuelekea uchaguzi mkuu nchini Burundi
-
Walemavu wapewa nafasi katika maadhimisho ya siku yao kimataifa