-
Hali ya usalama bado tete kwenye mji wa Goma licha ya waasi wa M23 kuondoka kwenye mji huo
-
Kampeni za urais zapamba moto nchini Kenya, Uhuru Kenyatta na William Ruto waungana
-
Majaji wa mahakama kuu nchini Misri waingia kwenye mgomo kupinga tarehe ya kupigia kura rasimu ya katiba
-
Netanyahu: Sitishwi na ukosolewaji wa Jumuiya ya kimataifa kuhusu kuendeleza makazi ya kudumu Jerusalem
-
Wapiganaji wa Boko Haram nchini Nigeria waua watu 10 kwenye jimbo la Borno
-
Serikali ya Japan yaagiza kufanyika uchunguzi wa kina kuhusu ajali ya njia ya ardhini mjini Sasago, mashariki mwa Tokyo
-
Nani awe msimamizi wa matumizi ya wavuti kuwa mjadala kwenye mkutano wa mwaka wa ITU mjini Dubai
-
Robo fainali ya kwanza ya michuano ya CECAFA kutimua vumbi hii leo
-
Wanajeshi wa Colombia waua wapiganaji 20 wa kundi la waasi wa FARC kwenye mpaka wake na Ecuador
-
Athari za tabia nchi kwa mazingira kwenye Ziwa Victoria nchini Tanzania
-
Marudio ya matukio yaliyojiri kwa mwaka huu
-
Siku ya kimataifa watu wanaoishi na ulemavu duniani