-
Mawaziri wa nchi wanachama wa NATO wakashifu matumizi ya nguvu dhidi ya waandamanaji
-
Wataalamu wa haki za Binadamu UN, waitaka Kenya kuukataa muswada wa mabadiliko ya sheria ya vyombo vya habari
-
Chama tawala nchini Afrika Kusini ANC chaishutumu ofisi ya Kuzuia na kupambana na rushwa kwa kuvujisha siri ya ujenzi wa makazi mapya ya rais Zuma
-
Makamu wa rais wa Marekani Joe Biden na Wakuu wa China kujadili mahusiano kati mataifa yao
-
Shirikisho la soka duniani FIFA lasema viwanja vitatu vinavyokarabatiwa kwa ajili ya kombe la dunia havitakamilika kama ilivyopangwa
-
Timu ya taifa ya soka ya Kenya, Harambee Stars imefuzu katika hatua ya robo fainali ya michuano ya Cecafa