-
Waziri Hillary Clinton aruhusiwa kutoka Hospital baada ya kupatiwa matibabu kwa siku tatu
-
Upinzani nchini Venezuela wataka kuwepo ukweli juu ya hali ya afya ya Rais Chavez
-
Waasi wa Seleka wakubali kufanya mazungumzo na Serikali ya Bangui na kusitisha kuteka Miji zaidi
-
Watu zaidi ya 60,000 wamepoteza maisha nchini Syria katika kipindi cha miezi 21 ya machafuko yanayoendelea
-
Newcastle United yatangaza Mshambuliaji wake Demba Ba yupo njiani kujiunga na Chelsea
-
QPR yaanza Mwaka Mpya kwa ushindi wa Ligi Kuu Nchini Uingereza dhidi ya Chelsea
-
Mashambulizi ya angani ya Wanajeshi wa Marekani yasababisha kifo cha Kamanda wa Taliban, Mullah Nazir
-
Watuhumiwa watano wa ubakaji wa msichana wa miaka 23 wafikishwa Mahakamani nchini India na huenda wakahukumiwa kifo
-
Mchakato wa Katiba Mpya nchini Tanzania na nafasi ya Waandishi wa Habari
-
Serikali ya Kenya yatangaza siku ya Ijumaa ni ya mwisho kwa wale ambao hawajasajili na hivyo baada ya hapo simu zao zitafungwa