Pata taarifa kuu
Habari RFI-Ki

Serikali ya Kenya yatangaza siku ya Ijumaa ni ya mwisho kwa wale ambao hawajasajili na hivyo baada ya hapo simu zao zitafungwa

Imechapishwa:

Serikali ya Kenya imetoa makataa ya mwisho kwa wamiliki wote wa simu ambazo hazijasajiliwa kufanya hivyo kabla ya Ijumaa na wale ambao watakaidi amri hiyo simu zao zitafungiwa na watashindwa kufanya mawasiliano ya aina yoyote kwa kupokea simu, kupigwa wala kuweza kutuma ujumbe mfupi na kupokea!! Huudma zote zitasitishwa kwa wamiliki wa simu hizo za mkononi kwa wale ambao hawajajisajili!!!

Wananchi wa Kenya wakiwa wamejikusanya kusajili simu zao za mikononi kabla ya tarehe ya mwisho kuzifunga
Wananchi wa Kenya wakiwa wamejikusanya kusajili simu zao za mikononi kabla ya tarehe ya mwisho kuzifunga
Vipindi vingine
  • 10:03
  • 10:06
  • 10:09
  • 10:00
  • 10:13
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.