-
Shambulizi la kujitoa mhanga lasababisha vifo huko Kabul ikiwa muendelezo wa kupinga filamu inayodhalilisha Uislam
-
Mgogoro wa kuwania Kisiwa baina ya Japan na China watishia uhusiano wa kidplomasia baina ya mataifa hayo
-
Wachimbaji wa madini nchini Afrika Kusini wakubali kupunguza madai yao ya mshahara kuwa rand 11,000
-
Nchi wanachama za ECOWAS zinaendelea kujadili uwezekano wa kupeleka Jeshi nchini Mali kukabiliana na waasi
-
Ligi ya Mabingwa Barani Ulaya kuanza kutimua vumbi hii leo kwenye hatua ya makundi
-
Kundi la Wanamgambo la Al Shabab larudishwa nyuma katika Mji wa Kismayo na Jeshi la Somalia
-
Romney akanusha kutoa video ya kuwatuhumu wafuasi wa Rais Obama kuwa tegemezi na wanakwepa kodi
-
Ugonjwa wa Macho Mekundu unavyosambazwa na namna ya kuudhibiti licha ya kuwa wa muda mrefu
-
Changamoto na kero za raia na serikali kwa nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki
-
Askari nchini Uganda watakiwa kufanya mazoezi ili kuondokana na vitambi vinavyosababisha washindwe kufanyakazi kwa ufanisi