Siha Njema
Ugonjwa wa Macho Mekundu unavyosambazwa na namna ya kuudhibiti licha ya kuwa wa muda mrefu
Imechapishwa:
Cheza - 10:04
Jicho ni moja ya kiungo muhimu katika mwili wa binadamu, basi hii leo makala ya Siha Njema yatajikita kuangazia juu ya ugonjwa wa macho mekundu, maarufu kama Red Eyes ambao ni moja ya magonjwa ya muda mrefu