Siha Njema
Makala inayojadili kwa kina masuala ya afya, tiba na kutambua magonjwa mbalimbali bila ya kusahau namna ya kukabiliana nayo. Watalaam walibobea kwenye sekta ya afya watakujuvya na kukuelimisha juu ya umuhimu wa kuwa na afya bora na si bora afya. Pia utawasikiliza kwa maneno yao watu ambao wameathirika na magonjwa mbalimbali na walikumbwa na nini hadi kufika hapo walipo.
Soma yanayofuataSikiliza kipindi kilichopita
-
Changamoto za afya ya akili miongoni mwa watoto na vijana Afrika
Kumekuwa na ongezeko la idadi ya watoto na vijana wanaokabiliwa na changamoto za afya ya akili14/05/202410:14 -
Mimba za utotoni zaendelea kuongezeka ukanda wa Afrika Mashariki
Idadi kubwa ya wasichana wanaopata mimbo za utotoni wapo katika nchi za Afrika kwa mujibu wa shirika la afya duniani pia UNFPA08/05/202410:20 -
Methadone yatumika kuwasaidia waraibu wa dawa za kulevya kupambana na Ukimwi
Kenya imeanza kutumia Methadone kupambana na Ukimwi baada ya Tanzania07/05/202408:40 -
Ajali za barabara Afrika huchangiwa na utepetevu, kasi na msongo wa mawazo
Ajali za barabara huchangia vifo vingi vya watu walio katika umri kati ya miaka mitano hadi 29 kwa mujibu wa WHO23/04/202410:25 -
Watu wengi wanajikuta na magonjwa ya figo na ini,watoto wengi Sudan wakiaga
Kuna ongezeko la magonjwa ya figo na ini kwa mujibu wa shirika la afya duniani17/04/202410:09 -
Uhitaji wa huduma za dharura za afya washika kasi ukanda wa Afrika
Shirika la AMREF Flying doctors linaonya kuwa mlipuko wa magonjwa yasiyoambukizwa yanazidi kuongeza uhitaji huku wigo la kupanua biashara likitanuka pia10/04/202409:55 -
Wanawake waongoza juhudi za kampeni za Afya bora ,DRC ikizidisha mapambano ya Kipindu Pindu
Wawawake kutoka ukanda wa Afrika wanajumuika Dar Es Salaam mwishoni mwa juma kupiga jeki kampeni za kuboresha afya02/04/202409:59 -
Mataifa ya Afrika yanayoendelea bado yanachangia mzigo mkubwa wa TB
Usalama mdogo nchini Sudan Kusini umesababisha wagonjwa wengi kuchelewa kubainishwa TB na kupata matibabu ya mapema29/03/202410:23 -
10:14
-
Wanawake mbele kuinua sekta ya sayansi na utafiti nchini Kenya
Idadi ya wanawake wanaongoza katika sekta mbali mbali bado ni ndogo barani Afrika.13/03/202410:14 -
Jamii ya Kibera jijini Nairobi inavyopambana na mimba za utotoni
Mimba za utotoni ni kizingiti kikubwa kinachoathiri elimu ya wasichana barani Afrika10/03/202410:03 -
UNITAID mbioni kurahisisha upatikanaji wa dawa nadra sokoni
UNITAID imekuwa ikishirikiana na mataifa kuleta dawa mpya na za bei nafuu28/02/202409:21 -
Ushirikiano kati ya shirika la Village Reach na wizara ya afya nchini Kenya na nchi za ukanda wa Afrika
Village Reach ambayo kwa tafsiri rahisi ni kufikia maeneo ya vijijini, imefungua ofisi za kikanda jijini Nairobi kujaribu kusaidia serikali kusimamia namba ya dharura,usafirishaji wa sampuli za Polio na kuboresha utendakazi wa wahudumu wa afya wanaofanya kazi katika jamii tofauti06/02/202410:07 -
Changamoto za afya ya akili katika mitaa ya mabanda nchini Kenya
Shirika la afya duniani limeorodhesha ongezeko la watu wanaokumbwa na changamoto za afya ya akili hususan tangu kuzuka janga la Corona,kupanda gharama ya maisha na mfumuko wa bei24/01/202409:54
Makala inayojadili kwa kina masuala ya afya, tiba na kutambua magonjwa mbalimbali bila ya kusahau namna ya kukabiliana nayo. Watalaam walibobea kwenye sekta ya afya watakujuvya na kukuelimisha juu ya umuhimu wa kuwa na afya bora na si bora afya. Pia utawasikiliza kwa maneno yao watu ambao wameathirika na magonjwa mbalimbali na walikumbwa na nini hadi kufika hapo walipo.