Pata taarifa kuu
Siha Njema

Wanawake mbele kuinua sekta ya sayansi na utafiti nchini Kenya

Imechapishwa:

Idadi ya wanawake wanaongoza katika sekta mbali mbali bado ni ndogo barani Afrika.

Timu ya DNDI wakiwahudumia wakaazi wa Kacheliba ,Pokot Magharibi nchini Kenya
Timu ya DNDI wakiwahudumia wakaazi wa Kacheliba ,Pokot Magharibi nchini Kenya © Emmanuel Kigen
Matangazo ya kibiashara

Kauli mbinu mwaka huu wakati wa maadhimisho ya siku ya kimataifa ya wanawake ni kuwekeza zaidi kwa wanawake ili kuongeza kasi ya maendeleo,tunaangazia wanawake wanasayansi na watafiti nchini Kenya ,wakijikita kwenye utafiti wa magonjwa yaliyotengwa

Vipindi vingine
  • 10:14
  • 10:20
  • 08:40
  • 10:25
  • 10:09
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.