-
Mawaziri wa Ulinzi kutoka ICGLR waunda Tume ya Kijeshi itakayolichunguza Kundi la Waasi la M23 linaloshambulia Mashariki mwa DRC
-
Rais wa Somalia Sheikh Mohamud akabidhiwa madaraka rasmi ya kuongoza nchi hiyo iliyomaliza utawala wa Serikali ya Mpito
-
Japan imefunga viwanda vyake nchini China kutokana na mgogoro wa kuwania Kisiwa uliochangia maandamano
-
Polisi nchini Afrika Kusini yasambaratisha maandamano ya wachimbaji huku mkutano wa wafanyakazi ukianza rasmi
-
Shirika la Umoja wa Mataifa la Kutetea Haki za Binadamu UNHRC kutoa orodha ya waliotenda uhalifu wa kivita nchini Syria
-
Mourinho achukizwa na mlolongo wa matokeo mabaya ya Real Madrid kwenye La Liga msimu huu
-
Klabu ya Berekum Chelsea yakanusha madai ya kupewa rushwa ili kuiachia TP Mazembe ipate ushindi
-
Maandamano yaendelea kupinga filamu iliyotengenezwa Marekani ikimdhihaki Mtume Muhammad SAW na Uislam
-
Chanzo cha Ongezeko la watoto wanaoishi katika mazingira hatarishi kwenye Majiji Barani Afrika
-
Jinsi Haki za Binadamu zinavyotekelezwa katika nchi za Kenya na Rwanda kwa kipindi hiki
-
Maisha ya wachimbaji wa madini Barani Afrika pamoja na mazingira yao ya kufanyika kazi migodini