-
Lakhtar Brahimi msuluhishi katika mgogoro ataraji kukutana na upande wa upinzani baada ya kujadiliana na wajumbe wa serikali
-
Marekani yasema haitoendelea kuvumilia wanaotumia mwanya wa maandamano ya kidini kutekeleza mashambulizi dhidi ya balozi zake
-
Kiongozi wa kanisa katoliki duniani Papa Benedict XVI ziarani nchini Lebanon
-
Wachimba mgodi wa Marikana wajiapiza kufanya mgomo mkubwa wakati rais Zuma alaani maandamano hayo
-
Serikali ya Kenya yaelemewa na migomo katika sekta za afya na elimu na huenda polisi nao wakajiunga
-
Hatimaye shirikisho la Soka nchini Kenya lasalimu amri yakubali michuano ya SECAFA ifanyika nchini Uganda badala ya Kenya
-
Kundu la Them Mushrooms
-
maandamano kupinga filamu ya kimarekani inayodaiwa kumdhalilisha mtume Mohammed.