-
Wanaume watano nchini Mali wakatwa viungo kwa tuhuma za wizi, ikiwa ni utekelezaji wa Sharia.
-
Baraza la usalama la umoja wa mataifa la laani vikali mashambulizi katika balozi za Marekani.
-
Mapigano ya kikabila nchini Kenya yasababisha vifo vya watu zaidi ya 100 huku Balozi za Marekani katika nchi za kiarabu zikishambuliwa
-
Kutana na waandaaji wa muziki wanaochipukia nchini Tanzania