Pata taarifa kuu
Kenya

Serikali ya Kenya yaelemewa na migomo katika sekta za afya na elimu na huenda polisi nao wakajiunga

Serikali nchini Kenya imeanza kuelemewa na uwepo wa migomo katika sekta za afya na elimu kitu kilichoisukuma kuunda Kamati ndogo ya Mawaziri ambayo itahusika katika kusaka suluhu ya migomo hiyo ambayo inaweza kushuhudia Polisi nao wakijiunga.zaidi ni katika Ripoti ya Paulo Silva

Mgomo wa waalimu nchini Kenya
Mgomo wa waalimu nchini Kenya
Kusambaza :
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.