-
Rais Obama alaani mauji ya balozi wake nchini Libya, huku Mitt Romney akimtuhumu kupuuzia usalama wa watu wake
-
Rais mpya wa Somalia anusurika kifo jijini Mogadishu
-
Serikali ya DRCongo yasema kuwa na ushahidi kuhusu njama za Roger Lumbala
-
Naibu waziri wa mifugo wa Kenya afutwa kazi na kufunguliwa mashtaka kwa kuhusishwa kuchochea machafuko
-
Waasi wa Syria wajiapiza kurjesha kwenye himaya yao ngome yao ya Aleppo
-
Vyama vikuu vya wafanyakazi nchini Ugiriki vyatishia kuingia mgomoni Septemba 26
-
Uhusiano wa marekani na nchi za Kiislam waingia dosari
-
rais mpya wa Somlia anusurika kifo, Alshabab wajigamba kuhusika