Pata taarifa kuu
Habari RFI-Ki

rais mpya wa Somlia anusurika kifo, Alshabab wajigamba kuhusika

Imechapishwa:

Wapiganaji wa Al Shabab wametekeleza shambulia katika hoteli moja ambako rais mpya wa nchi hiyo Cheikh Hassan alikokuwa akiendesha mkutano na vyombo vya habari. mwanajeshi mmoja wa AMISOM na wanajeshi wawili wa Somalia, waliuawa katika tukio hilo baya kuwahi kutokea tangu kukabidhiwa madaraka kwa rais Hassan Cheikh Mohamud. Victor Abuso amezungumza na wananchi kutoka katika maeneo mbalimbali kuhusu tukio hili

Viongozi wa Somalia baada ya uchaguzi
Viongozi wa Somalia baada ya uchaguzi REUTERS/Omar Faruk
Vipindi vingine
  • 10:03
  • 10:06
  • 10:09
  • 10:00
  • 10:13
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.