Mwanajeshi wa Marekani anayetuhumiwa kuua raia nchini Afghanistan amekutwa na makosa 17 ya mauaji.
Mwanajeshi wa Marekani anayetuhumiwa kufanya mauaji ya raia 16 nchini Afghanistani na kuzorotesha zaidi uhusiano ambao tayari ulishaingia doa baina ya mataifa hayo mawili jana Ijumaa ameshtakiwa kwa makosa 17 ya nayohusiana na mauaji ingawa inawezekana asihukumiwe kwa miaka miwili.
Imechapishwa:

Mwanajeshi huyo Sajent Robert Bales pia natuhumiwa kwa makosa sita kushambulia na kujaribu kuua katika wilaya ya Panjwai katika jimbo la Kandahar mapema mwezi huu.
Mauaji hayo mengi yakiwa ya wanawake na watotot yanaaminika kuwa mauaji makubwa ya uhalifu wa kivita kufanywa na askari wa NATO wakati wa machafuko ya miongo kadhaa.