Pata taarifa kuu
Habari RFI-Ki

Ndoa ya wake wengi yahalalishwa nchini Kenya

Imechapishwa:

Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta hatimaye ametia saini sheria ya ndoa ambayo itawaruhusu wanaume nchinihumo kuoa mke zaidi ya mmoja bila kupata ridhaa kutoka kwa mke wa kwanza, sheria hii imeonekana mwiba kwa wanawake na baadhi ya wanaume wameifurahia. Karibu uungane nami katika makala haya usikie mengi, mimi ni Sabina Chrispine Nabigambo.

Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta akitia saini muswada tata wa ndoa kuwa sheria
Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta akitia saini muswada tata wa ndoa kuwa sheria RFIKiswahili
Vipindi vingine
  • 10:03
  • 10:06
  • 10:09
  • 10:00
  • 10:13
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.