Pata taarifa kuu
AFCON-WOMEN-GHANA

Mechi za nusu fainali ya Afrika kwa wanawake kurindima Jumanne

Michuano ya nusu fainali, kuwania taji la bara Afrika katika mchezo wa soka, kwa upande wa wanawake, itachezwa siku ya Jumanne jijini Accra.

Fainali za Afrika kwa wnawake zinachezwa nchini Ghana
Fainali za Afrika kwa wnawake zinachezwa nchini Ghana CAF Online
Matangazo ya kibiashara

Mechi ya kwanza itakuwa kati ya Cameroon na mabingwa watetezi Nigeria, huku Afrika Kusini nao watachuana na Mali.

Cameroon na Mali, zilifuzu kutoka kundi A, baada ya kuwashinda wenyeji Ghana na Algeria.

Nalo kundi B, liliongozwa na Afrika Kusini kwa alama saba, huku Nigeria ikimenyana na Nigeria kwa alama 6.

Mshindi wa kwanza, wa pili na wa tatu, watafuzu kucheza katika kombe la dunia mwaka 2019 jijini Paris nchini Ufaransa.

Mataifa mengine yaliyoshiriki katika michuano hii ni pamoja na Zambia na .

Equitorial Guinea, ilifungwa mabao 17 katika michuano hii.

Kusambaza :
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.