Pata taarifa kuu
Jamuhuri ya kidemokrasi ya Congo

Tresor Mputu mchezaji wa klabu ya TP-Mazembe atishia kutojiunga na timu hio kwa michuano ya CHAN iwapo wachezaji hawatatendewa haki

Mshambulizi wa timu ya taifa ya soka na klabu ya TP Mazembe Tresor Mputu ametishia kujiondoa katika kikosi klitakachowakilisha nchi hiyo katika michuano ya CHAN baina ya wachezaji wanaocheza soka nyumbani mwakani nchini Afrika Kusini. 

Matangazo ya kibiashara

Mshambuzli huyo amesema kuwa atasusia michuano hiyo ikiwa maslahi ya wachezaji wanaosakata soka nyumbani hayataimarishwa.

Wachezaji wa timu ya taifa ya jamuhuri ya Kidemokrasi ya Congo “Leopard” wamekuwa wakilalamika mara nyingi kuwa shirikisho la soka nchini humo linacheelewa kuwalipa marupurupu yao.

Jamahuri ya kidmreokrasi ya Congo ilikuwa taifa la kwanza kushinda taji la CHAN mwaka 2009 wakati mcihunoa hiyo ilipoandaliwa mara ya kwanza nchini Cote d'Ivoire.

Kusambaza :
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.