Pata taarifa kuu
Misri

Watu 75 wafikishwa Mahakamani wakihusishwa na Vurugu za Mashabiki wa Mpira wa Miguu nchini Misri

Waendesha Mashtaka nchini Misri hii leo imewafikisha Mahakamani watu 75 wakihusishwa na vurumai wakati wa Mchezo wa mpira wa Miguu kati ya Al ahly na Al Masry Mwezi uliopita.

Matangazo ya kibiashara

Wanaoshutumiwa ni pamoja na Polisi tisa na Maafisa watatu wa Timu ya Al-Masry, huku wengine wadogo watapelekwa kwenye Mahakama ya Watoto.
 

Tarehe 1 Mwezi Februari Mwaka jana baada ya vurugu za Mashabiki wa Timu za nchini Misri, Al-Masry na Timu ya Mjini Cairo, Al-Ahly kuibuka baada ya kipyenga cha mwisho wa Mchezo kupulizwa.
 

Mashabiki wa Al-Masry walivamia uwanja baada ya kuifunga Al-Ahly 3-1, na kuwarushia Mawe, Chupa na Baruti Mashabiki wa Al- Ahly na kusabisha Vurugu na hofu wakati Mashabiki walipokuwa wakikimbia hovyo.
 

Kusambaza :
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.