-
Hali ya kibinadamu inaendelea kua mbaya nchini Sudani Kusini kutokana na mapigano ambayo yanaendelea kushuhudiwa nchini humo
-
Mashirika yanayotetea haki za kibinadamu yaomba Jumuiya ya Kimataifa kuingilia kati mzozo unaoendelea kuibuka Jamuhuri Afrika ya Kati ili kukomesha mauwaji yanayoendelea nchini humo
-
Adhabu ya kifo inamkabili rais wa zamani wa Misri Mohamed Morsi kutokana na tuhuma dhidi yake za kushirikiana na makundi ya kigeni
-
Timu ya Raja Cassablanca yaingia fainali baada ya kuifunga Atletico Mineiro ya Brazil mabao 3 kwa 1 katika fainali ya kuwania kombe la dunia baina ya vilabu
-
Tresor Mputu mchezaji wa klabu ya TP-Mazembe atishia kutojiunga na timu hio kwa michuano ya CHAN iwapo wachezaji hawatatendewa haki