-
Wanajeshi watatu wa kulinda amani wa UN wauawa nchini Sudan Kusini kwenye jimbo la Jonglei
-
Mwendesha mashtaka wa ICC aomba kesi dhidi ya Kenyatta isogezwe mbele
-
Wananchi wa Madagascar hii leo wanapiga kuchagua rais mpya kwenye uchaguzi wa duru ya pili
-
Hali yazidi kuwa tete nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati wakati huu nchi ya Rwanda ikituma wanajeshi wake
-
Rais Putin amuachia huru Khodorkovsky kiongozi aliyekuwa mkosoaji mkubwa wa Serikali yake
-
Bosi wa Cardif City amtaka kocha mkuu wa timu hiyo ajiuzulu mwenyewe ama afutwe kazi
-
Bunge la Uganda lapitisha sheria kupinga vitendo vya ushoga nchini humo
-
Chama cha wafanyakazi wa vyuma nchini Afrika Kusini chajiondoa ndani ya chama cha ANC
-
Kiungo wa Arsenal, Jack Wilshere kutumikia adhabu ya mechi 2 za ligi: FA